Ben Pol kapiga picha akiwa mtupu kuzisambaza mtandaoni

Tumeona kava tofauti za wasanii pale ambapo wanataka kutoa rekodi mpya, hii kutoka kwa msanii wa RnB kutoka Tanzania.

Ni Ben Pol ambaye May 18 2017 ameteka Istagram kwa kuweka picha hii akiwa amefungwa kamba, kwenye kiti na kuonekana ni mtupu kabisa.

Baadhi ya COMMENT za watu zinasema angevaa ata kitu kwa chini kama Boxer Hivi, ila ndio Ben kashafanya yake

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*