Rayvanny AshindaTuzo BET,Diamond atoa ya moyoni na Tale katusokezea Tuzo

Msanii wa Bongo Fleva kutoka lebo ya WCB Rayvanny ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa Tuzo ya BET Viewer’s Choice Best New International Act 2017 kwenye tuzo za #BETAwards2017.

Ujumbe wa Diamond Platnumz baada ya msanii wake kushinda tuzo hii….

“@rayvanny is THE BET Viewers Choice Best New International Act 2017 !!!!!!!!!!!!!
WOOOOOOOOOYOOOOOOOO!!!!!!!….. Nikishindwa kwa Mkono wa Kulia, ntatumia hata Mkono wa Kushoto…..ila lazma ifike @Wcb_Wasafi TANZANIA!!!! Chkua hiyo #Wcb_Wasafi #WinningTeam!!!!…Suit by @Speshoz“

Na Ujumbe wa Pili baada ya Bab Tale kuonyesha Tuzo Unasema Hivi…

Hii ni picha ya Meneja Bab Tale akiwa na Tuzo ya msanii wa WCB Wasafi Rayvanny, Tuzo hii ni ya BET Viewer’s Choice Best New International Act 2017.

Hatimaye leo Unakuja nayo Tanzania Dah! ….Zaidi ya miaka mi 3 tunaenda na kurudi Patupu….Hakika Maisha Uvumilivu na kutokata tamaa…. BRING IT HOME BOSS!!! @babutale“

Facebook Comments