Victor Wanyama apewa Mtaa Dar es Salaam

Kiungo wa klabu ya TottenHam ya Uingereza, Victor Wanyama leo alikuwa mgeni rasmi katika mchezo wa michuano ya Ndondo Cup uliopigwa leo jioni kwenye uwanja wa Kinesi.
Kutokana na heshima aliyoonyesha na nia ya dhati katika kushiriki kuibua vipaji vya mtaa.

Manispaa ya Ubungo kupitia Meya Mh. Boniface Jacob imeamua kumpa mtaa ( ukiwa Legho upande wa kushoto ukiwa unatokea Sinza, ukiingia kwenye Barabara ya kwenda Kinesi panaitwa V. Wanyama Street ).

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*