Ngoma awasili Dar kusaini mkataba mpya na Yanga

Donald Ngoma amewasili  kwa kishindo Uwanja wa mwalimu julius kambarage nyerere na kupokewa na wanachama wa Yanga leo majira ya saa tatu usiku jijini Dar es salaam kusaini mkataba mpya na kuendelea kuitumikia yanga kwa miaka mingine.

kuna baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma anaripotiwa kusaini mkataba wa miaka mitatu na klabu ya Polokwane City ya Ligi Kuu Afrika Kusini.

TAARIFA HIZO SIO ZA KWELI NA ZINA LENGO LA KUPOTOSHA UMMA,endelea kuwa nasi habari kamili inakujia hivi punde pia usisahau kuungana nasi kwa ku like page yetu  ya facebook ijulikanayo kama ripota makini kwa habari za ukweli na uhakika.

Facebook Comments