Hatimae Linah kaiweka hadharani picha ya baba mtoto wake

Mwimbaji wa Bongofleva Linah Sanga ‘Linah’ ambaye amekuwa mama baada ya kujifungua mtoto wa kike siku kadhaa zilizopita katika hospitali ya Marie Stopes…sasa leo August 4, 2017 ameitumia Instagram yake kuweka picha na kuandika maneno yanayoashiria pongezi kwa mwanaume aliyezaa naye.

Linah kupitia Instagram yake kayaandika haya maneno yaliyoambatana na picha ya baba wa mtoto wake>>>”Alienipa heshima ya kuitwa mama leo akiongozwa na Mungu ? i heart him so much #babydady #babaTRACEY #bestfriend #foreverhubby” – Linah

picha ya ujumbe alioandika linah mzazi mwenzake
Facebook Comments