BREAKING NEWS: MAKONDA AOMBA MSAMAHA CLOUDS NA WAANDISHI WA HABARI

Tukio limetokea na amekiri kuwa ni kweli limetokea lakini dhana wakati linatokea haikuwa kama ilivyochukuliwa.

Kwa sababu hataki kurudi na kuchimbua makaburi alichoomba yaliyopita yamepita tugange yaliyopo na yanayoendelea mbele ya safari.

“Kwenye kikao tulikbalina aje hapa aseme hivyo ameyaona yaliyotokea anaomba lisirudiwe tena katika utendaji wake wa kazi.”

“Mahusiano yetu kati ya waandishi wa habari na yeye yaende vizuri kuanzia sasa na kuendelea.”

Facebook Comments