BREAKING NEWS: POLISI MKOANI MWANZA WAMPIGA RISASI MKE WA MWENYEKITI

#HABARIZAHIVIPUNDE:Polisi Mwanza wamfyatulia risasi ya mguuni mke wa Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mabatini majengo mapya jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Majeruhi huyo Editha Ntobi amelazwa katika hospitali ya Rufaa Bugando baada ya kuvuja damu nyingi.
Kamanda wa polisi Mwanza Ahmed Msangi amesema uchunguzi zaidi unaendelea kufahamu chanzo cha tukio hilo.
Endelea kufuatilia Taarifa zetu kufahamu zaidi.

CHANZO:ITV

Facebook Comments