Povu la Ommy Dimpoz baada ya WASAFI Kutoa wimbo mpya

Ijumaa August 25 2017 Mwimbaji Alikiba ameachia video mpya baada ya kimya kirefu ambapo saa kadhaa baada ya kuiachia, WCB pia nao wametoa video yao mpya inaitwa ‘zilipendwa‘ ambapo Diamond amewaongoza vijana wake kama Rich Mavoko na Rayvanny kwenye hiyo video

Muda mfupi baada ya WCB kuachia hiyo ngoma mpya, Mwimbaji Ommy Dimpoz ambae yuko kwenye lebo ambako Alikiba ni mmoja wa Wakurugenzi, amechukua time yake kupost upande maneno ambayo wengi wanahisi ni dongo kwa WCB.

Ommy ameandika mashairi ya wimbo wa zamani ambao wengi waliuimba utotoni >>> “Watoto Wangu eeeh!! eeehh!! Mimi Baba Yenu eeeeh!! Sina Nguvu tenaaa Eeeeh za kuua Tembooo

Watoto: Sawa Baba tunakuja kukusaidia Sema itabidi tutumie zilezile mbinu zetu za UJANJA UJANJA si Unajua sikuhizi hayuko peke yake kuna mwingine kajificha”
video mpya ya WCB unaweza itazama hapa chini

Facebook Comments