Serikali yatangaza nafasi za kazi shirika la mizinga

Shirika la Mzinga ni Taasisi ya Serikali chini ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Waombaji wa nafasi za kazi katika Shirika la Mzinga watambue kituo chao cha kazi ni Makao Makuu ya Shirika:

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Shirika la Mzinga anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 43 kama zilivyoainishwa hapa chini.

BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

 

Facebook Comments