KESHO Dua kwa Lissu iko palepale, zuio la Mambosasa halituhusu-BAVICHA

Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) lasema wataendelea na mpango wao wa kumuombea dua Tundu Lissu hapo kesho.

Wadai zuio la Kamanda Mambosasa haliwahusu kwa sababu wao hawafanyi maandamano kama alivyoeleza yeye.

Mapema jana, Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam lilipiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanywa BAVICHA ili kumuombea Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu.

Facebook Comments