Manji atoa uthibitisho wa dawa alizokuwa anatumia

Mfanyabiashara Yusuph Manji, leo Jumatatu amepanda kizimbani kujitetea katika shtaka linalomkabili la matumizi ya dawa za kulevya ambapo akiongozwa na Wakili wake Hajra Mungula.

Manji ameionyesha Mahakama udhibitisho uliotumwa na daktari wake kutoka Marekani kwa njia ya baruapepe wa aina ya dawa alizokuwa akitumia.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*