Polisi yataja sababu ya kumkamata Mbunge Msigwa

Mbunge Msigwa ambaye aliachiwa na polisi jana usiku amesema kuwa polisi walimkamata wakati akifanya majukumu yake ya kibunge na kusema kitendo hicho hakiwezi kumfanya akae kimya au anyamaze bali ataendelea kufanya kazi yake

Katika barua ya polisi iliyotolewa leo kwa mbunge huyo kuonyesha kusitishwa kwa mikutano yake miwili ya kibunge ambayo ilipaswa kufanyika Septemba 25, 26 jimboni humo imebainisha wazi kuwa mbunge huyo alikamatwa jana na jeshi hilo kwa kitendo cha kuzungumzia sakata la Tundu Lissu kwa wananchi na kusema jambo hilo ni uchochezi na kuichonganisha serikali na wananchi.unaweza isoma barua hapo chini

barua
Facebook Comments