Maneno makali ya Diamond kuhusu kulala na wanawake wengi.

Povu kali la Bongo Fleva Super Star Diamond Platnumz kuhusu kulala na wanawake wengi, Simba analalamika kuhusu Skendo za kutoka na wanawake tofauti kwa muda mfupi zilizosamba hivi karibuni.

Diamond anasema >>“Mara Diamond Kamla Huyu, mara sjui naskia anatembea na Huyu, Mara Ooh sjui inasemakana juzi alikuwa na Huyu…Yani kila Ukiamka limezuka jipya, Utazani yangu ina Sukari au Nakojoa dhahabu?…..Hebu Niacheni kidogo, niko Busy nahangaika kuipeleka Bongo fleva yetu Duniani…. Sijamkaza yoyote, na Sina Mahusiano na Yoyote anaetajwa, na Siku pia Nikimaliza Mahusiano yangu na Alie South na nikawa na Mwengine na ikifikia kuliweka wazi ntaliweka wazi Mwenyewe, Maana hakuna kitachonizuia… ndio kwanza nna miaka 28, Sijaoa na Hata nikioa Naruhusiwa niwe na wake Wanne PERIOD!!!….”

Alichoandika diamond instagram
Facebook Comments