Hakuna Mtumishi atakaepandishiwa mshahara mpaka uhakiki wa umri ufanyike.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika amesema watumishi elfu 40 wamebainika kugushi umri wa kuzaliwa.

”Mkuchika amedai kwamba kuna watumishi 40000 wamefoji umri kwa hiyo watafanya uhakiki kwanza na kuchukua hatua kabla ya kupandisha mishahara”.Alisema Mkuchika

Akizungumza jijini Dar es salaam wakati akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa wizara hiyo Angella Kairuki, Mkuchika amesema kutokana na hali hiyo serikali haitapandisha mishahara hadi hapo zoezi la uhakiki litakapokamilika

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*