Ufafanuzi wa serikali kuhusu Nyongeza ya Mishahara kwa watumishi

barua sehemu 1

UFAFANUZI WA SUALA LA NYONGEZA YA MISHAHARA: Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu madai ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA).

“Hakuna mahali Rais Magufuli alipokataa kutekeleza ahadi ya ongezeko la mwaka la mishahara ya watumishi wa umma.” Dkt. Hassan Abbasi.zaidi soma barua hapo chini

barua sehemu 1
barua sehemu 2
Facebook Comments