Audio Ya Tundu lissu akiwashukuru watanzania Msikilize hapa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kusambaza picha na sauti ya Tundu Lissu kama alivyoahidi Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.

Mbowe alieleza kuwa watasambaza picha za Lissu, video yake pamoja na sauti itakayoelezea tukio lililompata ikiwa sehemu ya kutoa taarifa kwa umma.Msikilize Tundu Lissu hapa chini

Facebook Comments