Hiki ndicho Kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Njombe Mji

Kikosi cha Simba: #VPL leo oktoba 21 2017

Ligi kuu ya soka Tanzania bara VPL inaendelea leo kwa jumla ya mechi Sita kupigwa kwenye viwanja tofauti ambapo vinara wa ligi Simba SC watakuwa kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam kuikaribisha Njombe Mji.Kikosi cha Simba hiko hapo chini

Kikosi cha Simba: #VPL leo oktoba 21 2017
Facebook Comments