Uwoya atembelea kaburi la Marehemu Ndikumana majonzi yatawala.

Mchezaji Filamu maarufu nchini Irene Uwoya na mwanaye Krish aliyezaa na aliyekuwa mumewe, marehemu NDIKUMANA HAMAD walipojumuika na familia katika kaburi la baba watoto wake huyo, Ndikumana Hamad aliyezikwa nchini Rwanda.

Irene aliambatana na mama yake kwenda kutoa pole na kuifariji familia hiyo nchini humo, baada ya msakata kabumbu huyo wa zamani wa Timu ya Taifa ya Rwanda na kocha msaidizi wa Rayon ya Rwanda kufariki dunia ghafla mjini Kigali.

Facebook Comments