MGHWIRA ATOSWA ACT-Wazalendo

June 7, 2017 admin 0

ACT-Wazalendo imemwondoa rasmi madarakani mwenyekiti wake Anna Mghwira baada ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Badala yake ACT-Wazalendo imemteua Yeremia Maganja kuwa mwenyekiti wa muda. […]