Sirro: Kibiti hali ni shwari

August 26, 2017 patrick 0

Jeshi la polisi nchini limesema kuwa limefanikiwa kudhibiti uhalifu ulioukuwa unafanyika wilayani ya Kibiti mkoani Pwani na kuwakamata wahalifu wenyewe hatua ambayo imewezesha kurudisha hali […]